Usipitwe na hizi...


Thursday, 22 March 2018

MINU AMBADILISHA MAVAZI SNURA!

Snura Mushi
MSANII wa muziki Bongo, Snura Mushi anadaiwa kubadilishwa kimavazi na mwandani wake wa sasa aitwaye Minu.

Mtoa ubuyu mmoja amenyetisha kuwa, Minu amemtaka Snura ajistiri kutokana na umbo lake kuwa na ushawishi mkubwa kwa wanaume.“Jamaa nahisi anaona ataibiwa, kamwambia abadilike,” alisema mtoa ubuyu huyo.

Alipoulizwa Snura kuhusu ishu hiyo, aliangua kicheko na kujitetea. “Hahaaa, jamani mwenyewe nimeamua tu kubadilika jamani!”
Stori: Mayasa Mariwata

No comments:

Post a Comment

Pages