Usipitwe na hizi...


Friday, 23 March 2018

NAFASI ZA KAZI 25 HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONDO, KIGOMA


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakondo, Mkoani Kigoma, kupitia kibali cha Ajira anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Tanzania wenye sifa za kuajiliwa katika Utumishi wa Umma kuleta maombi ya kazi kwa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji kama ifuatavyo

BONYEZA HAPA KUSOMA JINSI YA KUTUMA MAOMBI

No comments:

Post a Comment

Pages