Usipitwe na hizi...


Tuesday, 13 March 2018

NAFASI ZA KAZI YA RECEPTIONIST (MAPOKEZI) SUNDA (T) LTD ZIMETOKA.




Kampuni ya sunda Tanzania investment company limited wanayo furaha kubwa kukujulisha wewe kua nafasi za kazi ya receptionist zinapatikana.

Muajiriwa awe na sifa zifuatazo.
Angalau muajiriwa anatakiwa awe na bachelor
Muajiriwa anatakiwa awe na uzoefu wa kazi hiyo angalau miaka 2 na zaidi.

Majukumu ya muajiriwa
1.kuwaongoza wageni sehemu wanayohitaji kufika
Mfano:kwa bosi

2.Muajiriwa anatakiwa ahakikishe usalama wa wageni na kutunza vifaa vya kiofisi

3.muajiriwa anatakiwa ahakikishe kua eneo lake la kufanyia kazi yaani reception ni safi.

4.kusimamia wafanyakazi walio chini yake na kuhakikisha wanatekeleza kazi zao.

Muajiriwa anatakiwa awe ame maliza elimu yake ya chuo kikuu na awe anajua kuandika na kuongea lugha ya kiingereza.
Muajiriwa anatakiwa awe wa kike

Tuma maombi kupitia anuani zifuatazo ukiambatanisha na CV yako.
Recruitment.dsm@sunda.com
Au ignas.mtui@qq.com

Naomba unisaidie Ku like page yangu kama Mimi nilivyo kusaudia kukuhabarisha nafasi za kazi nakuomba ulike ili uweze kupata ajira mbalimbali tembelea humuhumu Avocs media
Mshirikishe na mwenzako ujumbe huu

No comments:

Post a Comment

Pages