Usipitwe na hizi...


Thursday, 1 March 2018

TRENI YAPATA AJALI KIGOMA Siku ya jumatano ya tarehe 28 february 2018...

Haki miliki ya pichaSHIRIKA LA RELI TANZANIA
Image captioikitokea Kigoma Tanzania leo Jan 29 2017



 


Breaking News : TRENI YA ABIRIA YAANGUKA UVINZA - KIGOMA IKITOKA DAR ES SAALAM

Habari tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Kigoma zinaarifu kuwa Treni ya abiria iliyokuwa inatoka jijini Dar es saalam kwenda mkoa wa Kigoma imeanguka katika eneo la Malagarasi wilaya ya Uvinza jioni hii siku ya Jumatano Februari 28,2018.

Mwandishi wa Malunde1 blog Editha Karlo anasema kichwa cha treni hiyo kimetoka nje ya njia yake na behewa mbili zimeanguka na kwamba taarifa za awali ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha.






 





No comments:

Post a Comment

Pages