MWANADADA mkali wa Bongo Fleva, Dayna Nyange ameachia video ya wimbo wake mpya uitwayo ‘Sale Sale’, ambapo audio ya ngoma hiyo imefanywa na Bear kutoka Kili Records na video imeongozwa na Director Ivan. Icheki hapa.
Unaweza kuitazama video hii kwa urahisi zaidi na video zote mpya za Bongo kwa kuingia katika blog yetu
No comments:
Post a Comment