Usipitwe na hizi...


Sunday, 6 May 2018

MECHI ZA LEO TANZANIA, NJE BAB’KUBWA USIKOSE UHONDO HUO


LEO Mei 6, 2018 ni siku nzuri kwa wapenda soka nchini na wanaofuatilia mechi nyingine za soka duniani kwani mechi kubwa za kurusha roho zitapigwa  kuanzia Ligi Kuu Bara mpaka Ligi za Ulaya.
Mechi hizo ni:
LIGI KUU BARA
Simba SC vs Ndanda FC – Uwanja wa Taifa
Kagera Sugar vs Mbeya City – Kaitaba
Majimaji  FC vs Mtibwa  Sugar – Majimaji
Stand United vs Lipuli FC – Kambarage

KOMBE LA SHIRIKISHO
USM V Yanga SC – Saa 4:00 Usiku

RATIBA YA L A LIGA
Malaga vs Alaves 7:00 Mchana
Atletico vs Espanyol 11:15 Jioni
Las Palmas vs Getafe 1:30 Usiku
Barcelona vs Real Madrid 3:45 Usiku

EPL  LEO JUMAPILI
Man City vs Huddersfield 9:30 Alasiri
Arsenal vs Burnley 12:30 Jioni
Chelsea vs Liverpool 12:30 Jioni

No comments:

Post a Comment

Pages