Usipitwe na hizi...


Wednesday, 17 January 2018

Breaking News: Beki wa liverpool apata hukumu

Beki wa club kongwe ya Liverpool ya England ambaye msimu wa 2016/2017 alikuwa akiichezea Burnley kwa mkopo Jon Flanagan amehukumiwa leo baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mpenzi wake.
 Jon Flanagan amekutwa na hatia baada ya mahakama jijini Liverpool kujiridhisha na ushahidi, hivyo amehukumiwa saa 40 za kufanya kazi bila malipo na miezi 12 ya kufanya shughuli za kijamii.
Staa huyo mwenye umri wa miaka 25 alitenda kosa hilo kwa kumpiga Ms Wall ambaye ndio mpenzi wake December 22 wakiwa mtaa wa Duke jijini Liverpool.

No comments:

Post a Comment

Pages