Beki wa Yanga, Hassan Hamisi alisema kwamba matokeo hayo yamewasikitisha na kocha wao ameona mapungufu yaliyojitokeza hivyo anaamini atayafanyia kazi.
Leo jijini Dar es Salaam mapema jioni timu ya Young Africans yenye makazi yake jangwani imeambulia sare ya kutokufungana dhidi ya timu ya Mwadui ya Shinyanga
No comments:
Post a Comment