Chiki Mchome ambaye ni msemaji wa familia, alisema mazishi yatakuwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Kisutu na kabla ya maziko hayo mwili utaswaliwa katika, Msikiti wa Masjid Maamur uliopo Upanga.
Wasanii waendelea kumfariji Johari kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutolewa taarifa za msiba wa mama yake mzazi ambaye alikua akisumbuliwa na tatizo la presha kwa muda mrefu lililosababisha kifo chake katika hospitali ya Hindu Mandal alipokua akipata matibabu wakati anaumwa
No comments:
Post a Comment