Usipitwe na hizi...


Thursday, 18 January 2018

Kesi ya masogange yakwama.....

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili, Agness Gerald ‘Masogange’, umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuuonya upande wa utetezi kwa kushindwa kutoa ushahidi
Upande wa mashitaka ya kesi inayo mkabili Agnes Gerald Masogange  umeiomba mahakama ya hakimu mkazi kisutu kuuonya upande wa utetezi kwa kushindwa kutoa ushahidi wao kwa mara ya tatu mfululizo
Upande wa mashtaka umefikia hatua hiyo baada ya wakili wa utetezi Nehemia Nkoko kudai mbele ya hakimu mkazi mkuu,Wilbard Mashauri,kuwa wakili wenzake Reuben Simwanza ndiye aliyeandaa mashahidi na ameshindwa kufika kwasababu ni mgonjwa.

No comments:

Post a Comment

Pages